Search

78 results for Mussa Mwangoka :

  1. Mnyeti ‘awachana’ maafisa uvuvi

    Naibu Waziri wa maendeleo ya mifugo na Uvuvi, Alexander Mnyeti amekemea tabia ya baadhi ya maofisa Uvuvi kugeuka kuwa wakusanya mapato wa halmashauri akisema hiyo siyo kazi yao, huku akiwataka...

  2. Serikali yawatoa hofu wafasiri Rukwa

    Uongozi wa Serikali wilayani Sumbawanga mkoani hapa umewaondoa hofu wakazi wa Manispaa ya Sumbawanga kuhusu kubadilika kwa matumizi ya Stendi Kuu ya Mabasi yaendayo mikoani kutoka stendi ya...

  3. Mfanyabiashara azikwa akiwa hai Sumbawanga

    Kamanda huyo alisema baada ya kusimamisha pikipiki hiyo mmoja kati ya watu hao alimpiga kwa rungu kichwani kisha kumpora fedha taslimu Sh1.84 pamoja na pikipiki.

  4. 76 mbaroni wakidaiwa kumpiga mkuu wa kituo cha polisi

    Sumbawanga. Polisi mkoani Rukwa inawashikilia watu 76 kwa tuhuma za kumpiga na kumjeruhi Mkuu wa Kituo cha Polisi Kabwe, kilichopo wilayani Nkasi na kuharibu mali mbalimbali za Serikali na watu...

  5. Mwanamke mbaroni, adaiwa kumiliki SMG ya kienyeji

    Polisi mkoani Rukwa, inamshikilia mwanamke mmoja mkazi wa Mtaa wa Bangwe, Kata ya Izia, Tarafa ya Lwiche Manispaa ya Sumbawanga kwa tuhuma ya kukutwa akimiliki bunduki aina ya Shortgun.

  6. Mbunge aitaka Serikali kuchukua hatua uchakachuaji wa mbolea

    Amesema ni vema Serikali ikachukua hatua za kisheria dhidi ya wafanyabiashara wasio na uzalendo wanaolalamikiwa kuchakachua mbolea ambayo hutumika kwenye uzalishaji wa mazao ya kilimo.

  7. Wanunuzi lawamani huduma mbovu za afya Rukwa

    Kaimu Katibu Tawala mkoa wa Rukwa, Samson Hango amesema hayo leo Machi 21, 2023 wakati akifungua mafunzo ya wawezeshaji mfumo wa mshitiri kwa watendaji na wataalamu wa afya mkoani humo...

  8. Wanafunzi 11,413 hawajaripoti kidato cha kwanza Rukwa

    Kufuatia kundi kubwa la wanafunzi kutokuripoti shuleni ameagiza kufanyika kwa masako wa nyumba hadi nyumba ili kuwabaini watoto ambao hawajaripoti shuleni ili waanze kwenda shule haraka...

  9. Walimu Mkoa wa Rukwa wadai Sh2 bilioni

    Kaimu Katibu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Mkoa wa Rukwa, Mrisho Kikonda amesema leo Januari 17, 2023 wakati akizungumza na Mwananchi ofisini kwake ambapo alitakiwa kueleza ni namna gani CWT...

  10. Watumishi kuomba uhamisho Rukwa kwamshtua RC Sendiga

    Mkoa wa Rukwa umepiga marufuku uhamisho wa watumishi kutoka mkoani humo kwenda mkoa mwingine ikielezwa kuwa ni hatua ya kukabiliana na changamoto ya upungufu wa watumishi iliyopo sasa.

Page 1 of 8

Next